We are very happy to be here and we feel at home.

Our visit has been very productive.

The seeds of Tanzania and Rwanda’s relations were planted decades ago, and they continue to bear fruit today.

Siku zote, Rwanda itamuenzi na Kumshukuru Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa uamuzi wake wa kusimama upande wa haki wakati Nchi yetu ilipokuwa inapitia katika kipindi cha giza, na  kwa mchango wake katika harakati za kuijenga upya Nchi yetu.

Kwa ukanda wetu, na Afrika kwa ujumla, bado tuna vikwazo vingi vinavyohitaji kushughulikiwa.

Kwa msemo wa Kiingereza, every cloud has a silver lining. Tunachohitaji kufanya ni kuwa na mtazamo sahihi wa kuyaangazia.

Madam President, my sister, if I may, I will ask all of us to raise our glasses and join me in a toast:

To the health of Her Excellency Samia Suluhu Hassan, and to even more and stronger partnerships between the people of Tanzania and Rwanda.